Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, December 31, 2013

HAYA NDIO MATUKIO MAKUBWA YALIYOTOKEA 2013 MKOANI MBEYA NA KURIPOTIWA NA MBEYA YETU BLOG.

HOT NEWS…….NDOA YAVUNJIKA RASMI WAVUTANA KURUDISHIANA FEDHA WALIZOPOKEA.

Bwana harusi akiwa na mpambe wake kanisani wakimsubiri bibi Harusi

ZAIDI BOFYA HAPA>>

AZIKWA AKIWA HAI BAADA YA KIFO CHA MWANAE MSHEWE MBEYA VIJIJINI

Hili ndilo kaburi alimozikwa Alson Mwaikasu akiwa hai

ZAIDI BOFYA HAPA>>

PICHA LIVE: TAZAMA TUKIO ZIMA LA WAFANYA BIASHARA KUGOMA KUNUNUA MASHINE ZA TRA ZENYE THAMANI YA THS 800,000 JIJINI MBEYA, MADUKA YAFUNGWA.

 Polisi wakiwa katika ulinzi mkali

BREAKING NEWSSS MAMA AJIFUNGUA MTOTO WA KIUME PAMOJA NA KIUMBE KINACHOFANANA NA CHURA WILAYANI CHUNYA


Mtoto aliyezaliwa pamoja na kiumbe cha ajabu kinachofanana na chura

ZAIDI BOFYA HAPA>>

NEWS ALERT: WANAFUNZI WA TEOFELO KISANJI(TEKU) JIJINI MBEYA WAGOMA WAKISHINIKIZA WALIPWE PESA ZAO ZA RESEARCH ZAIDI YA MIL.100 LEO..

ZAIDI BOFYA HAPA>>


MUAFAKA WA KUPATA MKOA MPYA WAPATIKANA SASA KUITWA SONGWE

  MKUU WA MKOA WA MBEYA ABBAS KANDORO AKIFUNGUA MKUTANO WA KAMATI YA USHAURI YA MKOA(RCC)  JIJINI MBEYA

HOT NEWS: MCHUNGAJI wa Kanisa la Evangelical Assemblies of God of Tanzania(EAGT) la Iwambi Jijini Mbeya Daniel Mwasumbi AHUKUMIWA kifungo cha miaka 30 jela na viboko 12 baada ya kukutwa na makosa mawili ya Kubaka na kumpa mimba Mwanafunzi wa miaka 19.


 MCHUNGAJI wa Kanisa la Evangelical Assemblies of God of Tanzania(EAGT) la Iwambi Jijini Mbeya Daniel Mwasumbi akiwa mahakamani kungojea kesi yake.


SALAMU MAALUM ZA SHUKURANI KUTOKA MBEYA YETU BLOG BAADA YA KUPATA USHINDI WA KUWA CHOMBO BORA KATIKA MATANGAZO YA DIGITALI WAKATI WA MAONESHO YA NANE NANE KANDA YA NYANDA ZA JUU KUSINI MBEYA.

Hii ndiyo hati ya Ushindi tuliyopewa na TASO
ZAIDI BOFYA HAPA>>


MAKUBWA YAIBUKA TAZARA MBEYA : NJIWA ATUA NA BARUA YA VITISHO .

Njiwa akiwa na ujumbe wa barua kama inavyo onekana 


MAPYA YAIBUKA KUHUSU MAKAO MAKUU YA MKOA MPYA WA SONGWE.

Mbunge wa Jimbo la Ileje Aliko Kibona  ambaye pia alikuwepo katika Mkutano huo alisema kwa niaba ya Wananchi wa Ileje hayuko tayari kukubaliana na maamuzi ya Kupeleka Makao makuu Mkwajuni Wilayani Chunya. ZAIDI BOFYA HAPA>>

BREAKING NUUZ, AJALI MBAYA YA MAGARI IMETOKEA ENEO LA NANE NANE DARAJANI UYOLE MBEYA , YAJERUHI NA WATU WANNE WAHOFIWA KUFA HAAPO HAPO.SHUHUDIA


 GARI LA ABIRIA AINA YA HIACE IKIWA IMEGONGANA USO KWA USO NA GARI AINA YA LAND CRUISER 
ZAIDI BOFYA HAPA

DEREVA MWANAMKE WA BASI LA NDENJELA COACH AWA KIVUTIO KWA ABIRIA WA SAFARI ZA MBEYA KWENDA DSM


DEREVA NUSURA MAGULUKO 28 AKIMWOMBA MUNGU KABLA YA KUANZA SAFARI

ZAIDI BOFYA HAPA

MTOTO MWENYE UMRI ZAIDI YA MIAKA MIWILI AFUNGIWA NDANI ZAIDI YA MIAKA MIWILI NA WAZAZI WAKE IYUNGA JIJINI MBEYA

Mtoto Joshua akiwa amekaa uwani kwenye nyumba  yao huku wazazi wake wakiwa wamemwacha peke yake toka asubuhi bila ya kumpatia chakula mtoto huyo tumemkuta katika hali mbaya sana kwani tunemkuta amejisaidia haja ndogo na hana hata nguo za kubadilisha

ZAIDI BOFYA HAPA>>

MLEMAVU WA NGOZI (ALBINO) ASIMAMISHWA SHULE KWA KUTUHUMIWA KUWA MSHIRIKINA MLOWO MBOZI

Amina Mwamkinga alisema tangu tarehe tisa alipofukuzwa bwenini na wanafunzi wenzie wakitaka aondoke shuleni hapo wakimtuhumu kuwa mchawi majira ya usiku hali iliyomlazimu kuomba hifadhi kwa mlinzi aliyemkubalia na kukesha naye hadi asubuhi  hali iliyopelekea kupigwa na baridi kali kutokana na kukosa nguo za kujisitiri kama Shuka nk.
Hapa Amina akimsimulia mkasa mzima mwandishi wa Mbeya yetu Joseph Mwaisango mara baada ya kupata maelezo yote ya Amina mwandishi wetu alimpigia simu katibu wa chama cha maalbino mkoa wa Mbeya afike ofisi ya Mbeya yetu ili wasaidiane kutatua tatizo hilo

ZAIDI BOFYA HAPA>>


BREAKING NEWSSS WATU WATANO WANAOSADIKIWA KUWA NI MAJAMBAZI WAUWAWA NA POLISI MKOANI MBEYA

Baadhi ya wananchi wakitoka kutambua miili ya wanaodhaniwa kuwa ni majambazi


ZAIDI BOFYA HAPA>>

ALIYEZIKWA AKIWA HAI AFUKULIWA NA KUKUTWA AMEKUFA CHUNYA MBEYA

VIJANA WAKICHIMBUA KABURI ALIMOZIKWA ALIYEKUWA HAI 

ZAIDI BOFYA HAPA>>

BREAKING NEWSSS MWENYEKITI WA UMOJA WA SACCOS TAIFA NA PIA NI MFANYAKAZI WA TAZARA MBEYA AMBROSE LUCAS SHAYO APIGWA ATESWA NA KUCHOMWA MOTO KAWETELE MBEYA
BOFYA HAPA KU LIKE PAGE YA MBEYA YETU BLOG
HAPA NDIPO ALIPOTESWA NA KUUWAWA AMBROSE SHAYO
HAPA NDIPO ALIPOCHOMWA MOTO NA WATU WASIOJULIKANA

ZAIDI BOFYA HAPA>>

SAKATA LA KUGOMBEA KUCHINJA LAZUSHA BALAA TUNDUMA VURUGU TUPU

Hii ndiyo hali halisi ya Mji mdogo wa Tunduma leo kuanzia asubuhi

ZAIDI BOFYA HAPA>>


BABA AMZIKA MWANAE WA KIUME WA UMRI WA MIAKA 3 BAADA YA UGOMVI NA MKEWE
MTU mmoja Mkazi wa Kitongoji cha Iponjola Kijiji cha Isange Wilaya ya Rungwe Mkoani hapa anashikiliwa na Jeshi la Polisi akituhumiwa kumzika mwanaye wa kumzaa kwa siri ndani ya nyumba yake.
  

ZAIDI SOMA HAPA>>

JAMBAZI SUGU LAUWAWA KWA KUPIGWA RISASI KWENYE HARAKATI ZA KUTEKA MAGARI MLIMA NYOKA JIJINI MBEYA


Mwili wa Jambazi sugu  Emanuel Blasius Mdendemi ukiwa umehifadhiwa katika hospitali ya rufaa Mbeya
Kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya  Diwani akiangalia mwili jambazi lililouwawa na kikosi cha polisi Mbeya

ZAIDI SOMA HAPA>>


JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya, linawashikilia watu 13, wakiwemo askari wawili wa Jeshi la wananchi (JWTZ) na polisi mmoja kwa matukio ya mauaji na unyang'anyi wa kutumia silaha.

Kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya  Diwani Athuman amesema watuhumiwa hao wamewagawanya katika makundi mawili, ambapo kundi la kwanza ni la watuhumiwa 9 wakiwemo askari hao wawili wakidaiwa kuhusika na tukio la kuwaua kikatili na kisha kuwazika dereva na utingo wake
Siraha zilizokamatwa na na jeshi hilo la polisi ndizo zilikokuwa zinatumika na majambazi hayo 


BREAKING NEWSSS AUWAWA WAKIGOMBANIA MWANAMKE MTAA WA ITIJI NONDE MBEYA

MWILI WA MAREHEMU DANIEL MWASALEMBA 30 UKIWA UMELALA KWENYE MAJANI BAADA YA KUTOLEWA NDANI MAREHEMU AMECHOMWA VISU KISA NI UGOMVI WA KUGOMBANIA MWANAMKE AITWAE ELIZABETH MICHAEL

KWA HABARI KAMILI BOFYA HAPA

MCHUNGAJI AFIKISHWA MAHAKAMANI AKITUHUMIWA KUBAKA NA KUMPA MIMBA MWANAFUNZI MBEYA

Mchungaji wa Kanisa la EAGT la Iwambi Jijini Mbeya Daniel Mwasumbi anaetuhumiwa kwa kubaka na kumpa mimba mwanafunzi akitoka mahakamanibaada ya kudhaminiwa
Hapa akiwa anatoka mahakamani baada ya kusomewa mashtaka yake
ZAIDI  SOMA HAPA

No comments: