| MWILI WA MAREHEMU DANIEL MWASALEMBA 30 UKIWA UMELALA KWENYE MAJANI BAADA YA KUTOLEWA NDANI MAREHEMU AMECHOMWA VISU KISA NI UGOMVI WA KUGOMBANIA MWANAMKE AITWAE ELIZABETH MICHAEL |
| HAPA PETER AKIOKOLEWA NA WANAUSALAMA WALIOWAHI ENEO HILI LA TUKIO ASUBUHI HII |
| HIKI NDICHO CHUMBA ALIMOUWAWA MAREHEMU DANIEL |
| NDUGU WA MAREHEMU WAKIANGUA KILIO MARA BAADA YA KUONA MWILI WA NDUGU YAO DANIEL |
| HAKIKA ILIKUWA KAZI KUBWA SANA KWA POLISI KUMUOKOA PETER ANAEDHANIWA KUMUUA DANIEL KUMUOKOA KATIKA MIKONO YA WANANCHI WENYE HASIRA KALI |
| ANAEDHANIWA KUMUUA DANIEL AKIWA AMELALA CHINI BAADA YA KIPIGO KIKALI TOKA KWA WANANCHI WENYE HASIRA KALI |
| POLISI TAYARI WAMEUCHUKUA MWILI WA MAREHEMU DANIEL HABARI KAMILI MBEYA YETU ITAZIDI KUKUJUZA KWANI BADO TUPO ENEO LA TUKIO PICHA NA KAMANGA |
No comments:
Post a Comment