Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Saturday, June 1, 2013

DEREVA MWANAMKE WA BASI LA NDENJELA COACH AWA KIVUTIO KWA ABIRIA WA SAFARI ZA MBEYA KWENDA DSM


DEREVA NUSURA MAGULUKO 28 AKIMWOMBA MUNGU KABLA YA KUANZA SAFARI
SASA HAPA YUPO KAZINI
BAADHI YA ABIRIA WAKIFURAHIA MWENDO MZURI WA DEREVA NUSURA MGULUKO
ABIRIA WAKIPATIWA HUDUMA YA VITAFUNWA NDANI YA BASI HILO LA NDENJELA
WAFANYAKAZI WA BASI LA NDENJELA KABLA YA KUANZA SAFARI
MABASI YA NDENJELA NIYAKISASA YANAFANYA SAFARI ZAKE MBEYA  DSM KILA SIKU

21 comments:

Saleh Demwa said...

Mungu Ibariki Ndenjele,Mungu Ibariki Uyole
Inshaallah

Anonymous said...

inaonekana kampuni imejipanga kutoa huduma nzuri. kila la kheri mungu awabariki

Anonymous said...

Mashaallah kila la kheir

Anonymous said...

Nothing can limit anything. Keep it up mama. Ila ujue na baba watoto anahitaji huduma yako kipekee muda wowote au unasafiri naye kila trip?

Anonymous said...

Keep it up mom but remember that some people they dont like 2 see u on driving, u have 2 pray before the journey.

Anonymous said...

nimeipenda sana hii namkumbuka yule rubani mwanamke alienitoa dar hadi mbeya......

Anonymous said...

Aisee, hongera sana dada mkubwa,,,lakini angalia, kama una miaka ishirini na nane kweli, ni kinyume cha sheria ya usalama barabarani kwasababu kupata daraja C-Plain lazima uwe na miaka 30 na kuendelea,,labda kama sheria imebadilika.but sorry kama nimekosea....KAZI NJEMA DADA MKUBWA.

Anonymous said...

NIMEPENDA SANA DADA ANGU MUNGU AKUSAIDIE

Anonymous said...

Umenihamasisha sana dada yangu piga kaz!

Anonymous said...

Napenda kusafiri na Ndenjela kwakweli wanajitahidi kwa huduma,hata wafanyakazi wake wanakauli nzuri kwa wateja wake. Mungu azidi kuwabariki.

Anonymous said...

SIDHANI KAMA KUNAHAJA YA DEREVA MWANA MAMA KUSAFIRI NA MUMEWE, VINGINEVYO USIKUBALI HUO UTUMWA KAMA HAWEZI KUBAKI HOME AACHIE NGAZI KWANI KAZI NI KAZI. MBONA WAO HAWASAFIRI NA WAKE ZAOOOO

Anonymous said...

Na akijipendekeza kutaka asafiri nae lza itifaki izingatiwe yeye ni abiria kama wengine lzm ALIPEEE.

silaji ashilafi said...

zuko vzur

silaji ashilafi said...

zuko vzur

Anonymous said...

GREAT my sister! this is gender equality! why not women? May God b ahead of u in ua journey.

Anonymous said...

keep it up on the mvng.

Anonymous said...

great mungu akubariki sana onesha njia madume nao wapunguze munkari barabarani, wewe profesheno bana

Anonymous said...

Bigup sis

Anonymous said...

Hongera Ndenjela kwa ubunifu Na huduma mnayotoa. Inaonyesha no huduma nzuri inayokubalika Na wateja wenu. Mwenyezi Mungu awabariki

Anonymous said...

KAZA BUTI DADA FUATA USHARI KWA WATU AMBAO NI MZURI NAKUMBUKA HAWA THE BUS DRIVER

Anonymous said...

safi sana hongera dada angu