Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Monday, June 3, 2013

BREAKING NUUZ, AJALI MBAYA YA MAGARI IMETOKEA ENEO LA NANE NANE DARAJANI UYOLE MBEYA , YAJERUHI NA WATU WANNE WAHOFIWA KUFA HAAPO HAPO.SHUHUDIA


 GARI LA ABIRIA AINA YA HIACE IKIWA IMEGONGANA USO KWA USO NA GARI AINA YA LAND CRUISER
HIZI NI BAADHI YA MAITI ZILIZO OKOLEWA PUNDE BAADA YA AJALI KUTOKEA 
HIVI NDIVYO DALADALA HII ILIVYO HARIBIKA BAADA YA AJALI HIYO KUTOKEA 




DALADALA IKIWA IMEUMIA VIBAYA 


HILI NDILO ENEO AMBAPO AJALI HIYO IMETOKEA 




 TINGO WA DALADALA AKIWAANASHUSHWA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA

 TINGO WA DALADA\LA AKIWA ANAPELEKWA KATIKA MSAADA WA HARAKA RUFAA
 MMOJA WA ABIRIA AKIKIMBIZWA KATIKA MSAADA WA HARAKA RUFAA
MWILI WA DEREVA WA DALADALA ALIYE FARIKI PAPO HAPO UKIPELEKWA CHUMBA CHA KUHIFADHIA MAITI RUFAA





Habari Kamili inakuja

6 comments:

Anonymous said...

madereva kuweni makini muwapo barabarani

Unknown said...

Dah! inasikitisha xana, MUNGU azilaze roho za marehemu pema peponi #AMINA

Unknown said...

Dah: inasikitisha xana, MUNGU azilaze roho za marehemu pema peponi AMINA

Anonymous said...

MUNGU AWALAZE MAHALI PEMA PEPONI

Anonymous said...

MH Inasikitisha Sana

Anonymous said...

poleni wafiwa kwa yaliyo wakuta