Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Sunday, April 21, 2013

BREAKING NEWSSS MWENYEKITI WA UMOJA WA SACCOS TAIFA NA PIA NI MFANYAKAZI WA TAZARA MBEYA AMBROSE LUCAS SHAYO APIGWA ATESWA NA KUCHOMWA MOTO KAWETELE MBEYA
BOFYA HAPA KU LIKE PAGE YA MBEYA YETU BLOG
HAPA NDIPO ALIPOTESWA NA KUUWAWA AMBROSE SHAYO
HAPA NDIPO ALIPOCHOMWA MOTO NA WATU WASIOJULIKANA

HILI NDILO ENEO GARI YAKE ILIPINDUKA NA WAUWAJI WALIPOPATA NAFASI YA KUMUUA AMBROSE
HAPA NDIPO GARI YA AMBROSE ILIPOGONGA NA KUPINDUKA WAKATI ANAKIMBIZWA NA WAUWAJI HAO

HABARI KAMILI YA TUKIO HILI TUTAZIDI KUWAJULISHA KWANI  POLISI WANAENDELEA NA KAZI YAO

PICHA NA MBEYA YETU

9 comments:

Anonymous said...

Wewe ndugu mwandishi, tueleze Ambose Shayo ni nani na kwa nini wauwaji walikuwa wanamkimbiza

Unknown said...

dah mbeya yetu hii kwa matukio inaongoza kabisa

Anonymous said...

sasa sie tutajuaje huyo Ambrose ni nani? Imekuwaje mpaka akakimbizwa? chanzo cha mauaji ni nini? Jamani sasa umetuwekea mapicha tu sie tutajuaje?

Anonymous said...

Dah, this Guys is my friend aisee!

Anonymous said...

Tulipofikia watanzania siyo penyewe hata kidogo.Mambo ya kuuana kinyama namna hiyo siyo mazuri.Tujaribu kuangalia njia nyingine lakini si kitendo cha kutoana uhai.Tanzania yetu ilikuwa ni mfano wa kuigwa kwa aman na utulivu,ila kwa sasa duh!inaogofya sana.

lucky andrew said...

Inauma sana binadamu kuwindana kama digidigi kweli hizi ni za za mwisho Mungu ailaze roho ya marehemu pema peponi

Anonymous said...

Mungu ailaze roho ya marehemu A. SHAYO pema peponi. Amen

Anonymous said...

Loo! Ee mungu itazame mbeya kwa jicho lako la uhuruma pamoja na Tanzania kwa ujumla maana Taifa lako linaangamia.

Muwazi said...

Ambrose aliijenga SACCOSS ya Mbeya hadi kuwa Benki kubwa na kama Mwenyekiti wa SCULT, (muungano wa vyama vyote Tanzania) alipinga uuzaji wa kiwanja Dar kinyume na sheria. Inawezekana hii ndo sababu????