| WATOTO MUDA WA SHULE WAPO KUBEBA MAJI YA MATUMIZI YA NYUMBANI WAZAZI MPO WAPI? MBEYA VIJIJINI |
| MUDA WA MASOMO WATOTO WAPO MNADANI MBARALI JE WAZAZI HAMUWAONI WATOTO HAO? |
| HII NI MITAA YA MAJENGO MBEYA WATOTO MUDA WA SHULE WAPO DAMPO LA TAKATAKA WAKICHEZA |
| HATARI NYINGINE ONA HUYU MTOT ANACHOFANYA |
| HAYA HUYU TAYARI AMESHACHOMWA TAKO NA WENZAKE |
| KATIKATI YA JIJI LA MBEYA WATOTO WA MUUZA KEKI MAARUFU JIJINI WAKIWA WANAWASUBIRI WAZAZI WAO |
| HUKO MBEYA VIJIJINI DARASA LA AWALI WAKIWA DARASANI MAMBO HAYO |
| WANAFUNZI MAPEMAAA WAMECHOKA |
| OFISI YA WAALIMU Picha na Mbeya yetu |
2 comments:
Wazazi hawawpi chakula cha asubui breackfast, kiasi kwamba watoto wanashindwa kukaa darasani na kukonsetrat, wanachokaa haraka kwa njaa
huo ni mwamuko duni wa elimu kwa wazazi na wanafz.
Post a Comment