Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Wednesday, January 8, 2014

HATARIIIIIIIII!!! DARAJA HILO LA KIJIJI CHA IPUNGA MBOZI MKOANI MBEYA,JIONEE

Tazama Jinsi Daraja hili lilivyo kaa kihatari zaidi .. Je hawa watu wanaovuka katika eneo hili hawaogopi?
WAHUSIKA MPOOOO? ANGALIA KWA MAKINI PICHA HII JE HUYU MTOTO ATAVUKA SALAMA?


Hebu kwa makini watazame watoto hawa wakiwa wanavuka katika daraja hili wakiwa peke yao huku mbele kabisa anaonekana kijana akiwa anawatazama bila wasi wasi je ikitokea akidondoka hapo nani atalaumiwa?

Daraja hili la Hatari sana limekuwa maarufu katika eneo hilo huku zaidi ya watu 300, hulitumia kwa kuvuka , ikiwa sehemu kubwa ni wanafunzi wa shule za msingi na Sekondari.
Je ukiwa kama mdau na msomaji wa Mtandao huu unalizungumziaje hili swala?

Usisahau ku like page yetu ya Mbeya yetu Blog Bofya hapa

Picha na Dany Tweve wa Indaba Africa

No comments: