| 1962 - 2014 |
| BAADHI YA WATOTO WA MAREHEMU WAKIWA IBADANI KWA AJILI YA MISA YA KUMUOMBEA MAREHEMU MAMA YAO |
| KULIA PAROKO MSAIDIZI PROJESTUS KAHITWA AKIONGOZA MISA YA KUMUOMBEA MAREHEHEMU BENADETHA OLOMI |
| MUME WA MAREHEMU MR EZEKEEL KALABAN MWANDETELE |
| WATOTO WAMAREHEMU WAKITOA HESHIMA ZAO ZA MWISHO KWA MAREHEMU MAMA YAO KIPENZI |
| ASKOFU WA DAYOSISI YA KONDE KKKT DR ESRAEL MWAKYOLILE AKITOA HESHIMA ZA MWISHO |
| AFISA USALAMA WA TAIFA WILAYA YA RUNGWE AKITOA HESHIMA ZA MWISHO |
| KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA AHMED MSANGI AKIWEKA UDOGO KATIKA KABURI LA MAREHEMU BENADETHA OLOMI |
| HESHIMA ZA MWISHO ZA KIJESHI BAADA YA MAZIKO |
| HESHIMA ZA MWISHO KWA MAREHEMU |
No comments:
Post a Comment