Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Thursday, January 9, 2014

MATUKIO MBALIMBALI YA WATOTO MKOANi MBEYA LEO WAZAZI TUPOOO?

WATOTO MUDA WA SHULE WAPO KUBEBA MAJI YA MATUMIZI YA NYUMBANI WAZAZI MPO WAPI? MBEYA VIJIJINI

MUDA WA MASOMO WATOTO WAPO MNADANI MBARALI JE WAZAZI HAMUWAONI WATOTO HAO?


HII NI MITAA YA MAJENGO MBEYA WATOTO MUDA WA SHULE WAPO DAMPO LA TAKATAKA WAKICHEZA


HATARI NYINGINE ONA HUYU MTOT ANACHOFANYA


HAYA HUYU TAYARI AMESHACHOMWA TAKO NA WENZAKE

KATIKATI YA JIJI LA MBEYA WATOTO WA MUUZA KEKI MAARUFU JIJINI WAKIWA WANAWASUBIRI WAZAZI WAO


HUKO MBEYA VIJIJINI DARASA LA AWALI WAKIWA DARASANI MAMBO HAYO

WANAFUNZI MAPEMAAA WAMECHOKA

OFISI YA WAALIMU

Picha na Mbeya yetu

2 comments:

Anonymous said...

Wazazi hawawpi chakula cha asubui breackfast, kiasi kwamba watoto wanashindwa kukaa darasani na kukonsetrat, wanachokaa haraka kwa njaa

Gs Kenteme said...

huo ni mwamuko duni wa elimu kwa wazazi na wanafz.