Chupa chakavu zikiwa zimefungwa vizuri katika vyandarua tayari kwa kusafirishwa kwenda DSM |
Sisi kama Mbeya yetu hatuna maneno tumejionea wenyewe na wewe ona sasa toa maoni yako |
Bonge la mzigo limefungwa kisawasawa tayari kwa kusafirishwa |
Chandarua kazini Picha na Mbeya yetu |
1 comment:
Kwa mwendo huu, sidhani kama Tanzania bila malaria itawezekana
Post a Comment