Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Wednesday, December 5, 2012

VYANDARUA VYATUMIKA KUSAFIRISHIA CHUPA CHAKAVU MBEYA

Chupa chakavu zikiwa zimefungwa vizuri katika vyandarua tayari kwa kusafirishwa kwenda DSM

Sisi kama Mbeya yetu hatuna maneno tumejionea wenyewe na wewe ona sasa toa maoni yako



Bonge la mzigo limefungwa kisawasawa tayari kwa kusafirishwa



Chandarua kazini

Picha na Mbeya yetu

1 comment:

Anonymous said...

Kwa mwendo huu, sidhani kama Tanzania bila malaria itawezekana