Hakika vijana wa Mbalizi tuwape pongezi kwa kazi nzuri wanayoifanya kwani ni vijana wachache sana wanaojitolea kufanya kazi hizo za usafi wa kujitolea |
Mweshimiwa diwani akikagua kazi inayoendelea ya kuzibua mifereji na kutengeneza barabara |
kazi inaendelea |
Mweshimiwa diwani hakuwa nyumba katika kuwasaidia vijana |
Kwenye kazi utani pia upo ili kazi iende vizuri dada na kaka wanataniana |
Safi sana vijana wa Mbalizi |
Mratibu wa Vijana wazalendo wa mji wa Mbalizi Gordon Kalulunga,akiwa na kiongozi mwenzake wakifurahia jinsi kazi inavyoendelea |
Hali halisi ya mifereji ya mbalizi ni hii sasa vijana ndiyo wanaizibua |
No comments:
Post a Comment