Hii ndiyo barabara ya mbalizi eneo la hospital ya wazazi meta ikiwa imebanduka viraka vya sementi iliyowekwa mwezi uliopita |
Hivi ndivyo viraka vilivyobandikwa mwezi uliopita sasa yamebaki mashimo |
Hili barabara ya kuingia kituo kikuu cha mabasi yaendayo mikoani jijini mbeya |
1 comment:
Da, hivi kweli serikali ya Mbeya imeshindwa kabisa kufanya ukarabati wa kudumu maeneo haya ya barabara. Uongozi wa jiji hauwezi ukawa serious kutuwazisha project kubwa kubwa wakati hivi vitu vidogo haiwezi ikafanya. endeleeni kunenepesha matumbo yenu mpaka tu, ipo siku mtalia machozi nyie
Post a Comment