Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Saturday, January 28, 2012

GARI YA MH. DIWANI KATA YA SISIMBA MBEYA YAANGUKIWA NA MTI JIONI HII

Gari ya mheshimiwa diwani Geofrey Kajigili wa kata ya sisimba jijini mbeya likiwa limeangukiwa na mti ulioangushwa na mvua ilioambatana na upepo mkali
Mh. diwani Kajigili anaeongea na simu akiwa na mzee shariff  na majirani wengine waliokuja mpa pole

No comments: