Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Monday, January 30, 2012

HALI BADO SI SHWARI HOSPITALI YA RUFAA MBEYA NI MADAKTARI WATANO TU WAFIKA KAZINI KATI YA 75

Hospitali ya rufaa mbeya
Akiongea na waandishi wa habari mkurugenzi wa Hospitali ya Rufaa Mbeya Dokta Eliuta Sanker amesema mpaka sasa ni madaktari watano 5 tu walioripoti kazini hapo kati ya madaktari 75 waliogoma
Baadhi ya wagonjwa wakiendelea kuandikiwa vyeti vya kuwaona madaktari
Baadhi ya madaktari wakisoma matangazo ya kutaka warejee kazini
Madaktari wakiwa wanatoka katika hospitali ya rufaa mbeya baada ya kusaini kitabu cha mahudhurio yakuwa wamefika kazini lakini huduma hawatoi

2 comments:

Rais wa wastarabu said...

JAMANI SERIKARI IKO WAPI?
JAMANI SERIKARI IKO WAPI?

Hivi ndio 2seme SERIKARI imegeuka nakua SIRIKUU maana watanzania nakufa, mahospital hakuna madaktari. Sasa nyie viongozi mbona mko kimya au kwa sababu ndugu zenu na nyie ukiumwa mnaenda kutibia nje? Jamani sisi walala hoi na kujifunika kwa ngumi na mlo kuupata kwenye njozi 2nandugu zetu wanakufa coz mnajari vitengo vyenu ktk serikari. nyie 2naomba nyie muuendele kufisadi but madaktari muwape wanachotaka. Au mnafurahi kuwaona wazazi we2 wakijifungua chini mnaona utamu sn pia kuona m2 anakufa kukosa dawa au nyie hamna wazazi, ndugu na jamaa. Ndio maana wa2 wengine utasikia mi co MTANZANIA co kuwa haipendi ili kuchoka na serikari icyojari utu then mnacctiza tuwe na uzalendo cjui mkoje hebu kuweni wastarabu hapa 2nazungumzia maisha ya m2 co uchumi maana bila afya uchumi huji cjui mnalijua. Cjui hata utu km mnao aagriii.....! I love TANZANIA but i hate viongozi wa hi SERIKARI ya NCHI HII
Shiiiii.....t

Anonymous said...

ALTHOUGH I FOUND NO SNAG IN USING THE FACT THAT X WAS REQUIRED Y TO EXPLAIN X, I ASLO FOUND NO CLEAR REASON, EXCEPT WHER THE PROCESS HAD AN AUTHOR. THAT IS THE DIFFERENCE HERE BETWEEN A WIRE WHICH MELTS AND CAUSES A FIRE AND A FUSE WHICH MELTS AS A SAFETY DIVICE