Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Monday, January 30, 2012

BARABARA TOKA JIJINI MBEYA KWENDA MBALIZI YABADUKA VIRAKA VYA SEMENTI

Hii ndiyo barabara ya mbalizi eneo la hospital ya wazazi meta ikiwa imebanduka viraka vya sementi iliyowekwa mwezi uliopita
Hivi ndivyo viraka vilivyobandikwa mwezi uliopita sasa yamebaki mashimo 
Hili barabara ya kuingia kituo kikuu cha mabasi yaendayo mikoani jijini mbeya

1 comment:

OCH said...

Da, hivi kweli serikali ya Mbeya imeshindwa kabisa kufanya ukarabati wa kudumu maeneo haya ya barabara. Uongozi wa jiji hauwezi ukawa serious kutuwazisha project kubwa kubwa wakati hivi vitu vidogo haiwezi ikafanya. endeleeni kunenepesha matumbo yenu mpaka tu, ipo siku mtalia machozi nyie