Mwandishi wa Mbeya Yetu Blog na Dj Presenter wa Tone Radio Fredy Tony Njeje (Dj Sir Frenje) akiwa anachota maji hayo safi katika kijiji kimoja huko Mbozi
Baadhi ya watoto wakiwa wanachota maji katika eneo hilo
Binti huyu akifurahia huduma hiyo ya maji eneo hilo
Mwandishi wa Mbeya yetu(Mzee wa Field) akiwa amekula pozi baada ya kutoka vijijini huko Mbozi endelea kuwepo kwa matukio zaidi yanayotokea huko vijijini.
1 comment:
Maendeleo hayo umeme, maji...ni muhimu sana kijijini...barabara..ili mjini tusijazane!
Post a Comment