Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Monday, June 20, 2011

Jimwagwe na Kamera ya Mbeya yetu Maeneo ya Sae kwa Mponda's Pub


 Kushoto ni Mzee mzima Geoffrey George Annaniah(Papa Mwili House) akiwa na Mmiliki wa Kiota hicho Gillion Mponda wanapata moja moto moja Baridi


Wadau kibao wakiwa katika kiota hicho cha Gillion Mponda maeneo ya Sae Jijini Mbeya

Hapa ni Baada ya kupombeka wadau wakabaki wanashangaa kilaji

Mdau Mkubwa wa Mbeya yetu Blog Geoffrey George Annaniah akiwa ana show some love na Palachichi kuonesha kwamba yeye ni mzawa kabisa wa Jijini Mbeya 

Mmiliki wa kiota cha Mponda's Pub mzee mwenyewe Gillion Mponda akiwa mbioni kuzima kabisa hapa anawaomba wadau akapumzike

No comments: