Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Monday, June 20, 2011

Huduma ya maji safi mpaka vijijini Mambo Gado Mkoani Mbeya

Mwandishi wa Mbeya Yetu Blog na Dj Presenter wa Tone Radio Fredy Tony Njeje (Dj Sir Frenje) akiwa anachota maji hayo safi katika kijiji kimoja huko Mbozi 
Baadhi ya watoto wakiwa wanachota maji katika eneo hilo 

Binti huyu akifurahia huduma hiyo ya maji eneo hilo
Mwandishi wa Mbeya yetu(Mzee wa Field)  akiwa amekula pozi baada ya kutoka vijijini  huko Mbozi endelea kuwepo kwa matukio zaidi yanayotokea huko vijijini.


1 comment:

emu-three said...

Maendeleo hayo umeme, maji...ni muhimu sana kijijini...barabara..ili mjini tusijazane!