Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Monday, June 20, 2011

Wana Mbeya tupoo? MH. JOSEPH MBILINYI APINGA UFANYIKAJI WA TAMASHA LA FIESTA 2011…!!!




Mbunge wa Mbeya Mjini Kupitia Chama cha Chadema Leo kupitia Page yake ya Facebook Ameandika ujumbe ambayo unapinga ufanyikaji wa Tamasha kubwa la Fiesta. Joseph Mbilinyi ambaye pia ni mwasisi wa mziki wa Bongo Flava aliandika Ujumbe Unaosomeka Hivi “

2 comments:

Kulwa said...

....imekuwaje tena Bro?

John Mwaipopo said...

faida zinazoitwa faida za fiesta ni hasara tu. ni katika nia ile ile ya kuzikamata akili za watoto/vijana. hata hao vijana/ watoto wangejua katu wasingali enda huko. hata hivyo ni wakati wao pumba na mchele wakikua