Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, September 29, 2015

TANGAZO LA NAFASI YA KAZI.
TANGAZO LA NAFASI YA KAZI.

CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI MKOA WAMBEYA (MBEYA PRESS CLUB) KINATANGAZA NAFASI YA KAZI YA URATIBU KWA KIJANA MWENYE SIFA ZIFUATAZO;

1.     AWE MTANZANIA MWENYE ELIMU YA KIDATO CHA NNENA KUENDELEA.
2.   AWE NA UMRI WA MIAKA 25 HADI 35
3.   AWE NA UWEZO WA KUANDIKA NA KUONGEA KIINGEREZA KWA UFASAHA
4.   AWE NA UWEZO WA KUTUMIA KOMPYUTA.

WAJIBU WA MRATIBU NI KURATIBU SHUGHULI ZOTE ZA CHAMA
BARUA ZA MAOMBI ZIWASILISHWE KATIKA OFISI ZA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA MBEYA ILIYOPO SOKOINE MKABALA NA COFFEE GARDEN.
MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI NI TAREHE 30/09/2015 SAA KUMI NA NUSU JIONI(10:30).
WAOMBAJI WATAKAOKUWA WAMEKIDHI VIGEZO WATAITWA KWENYE USAILI KWA KUPIGIWA SIMU, KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA SIMU NAMBA 0756 431633

TANGAZO HILI LIMETOLEWA NA MWENYEKITI WA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA MBEYA.

No comments: