Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Saturday, August 8, 2015

PICHA: SHAMLASHAMLA ZA KUELEKEA KUHITIMISHA SIKU YA NANE NANE JIJINI MBEYA

 Hawa ni watu ambao wameweza kufika katika viwanja vya John Mwakangale kwa ajili ya kujionea mambo mbalimbali Nanenane
 Baadhi ya wanafunzi walionekana wakiwa kaika viwanja hivyo kwa ajili ya kujifunza mbalimbali yahusuyo Kilimo, ufugaji na Mengine mengiiiii....
 Wafanya Biashara nao hawakuwa mbali, kuumia fursa kupitia msimu wa nane nane.
 Uuzaji wa Mitumba ni miongoni mwa shughuli zinazofanywa katika viwanja vya nane nane 
 Wengine hao wanaondoka

Picha na Mbeya yetu


No comments: