Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Wednesday, July 29, 2015

HONGERA JIJI LA MBEYA KWA KUANZA UTARATIBU MPYA WA KUANZA KUKUSANYA TAKA KUPITIA NYUMBA KWA NYUMBA ..

 Hili ni Eneo la Barabara ya Veta ambapo watu sasa ndio wanaweka Taka zao na Gari maalum kupitia 
 Wakiwa wanajiandaa kuchukua takataka......
 Zoezi linaendelea 
 Wanaanza kukusanya Taka ingawa hawana vifaa ambavyo vinawalinda kiafya 
Hapa Jamaa wanaendelea na kazi wakiwa wanamalizia kukusanya Taka ...

Na Mbeya yetu

1 comment:

Anonymous said...

Hiyo barabara hata lami tu bado? mbunge wetu anaondoka hivihivi jamani. Mpaka lini vumbi hizo?