Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Wednesday, July 29, 2015

HAPPY BIRTHDAY HEAD OF GROUP RESEARCH AND PRODUCT DEVELOPMENT FREDY ANTHONY WA TONE MULTIMEDIA GROUP, "NASHEREKEA KWA KUPIGA VITA UJANGILI" .

Ninaunga Mkono Kampeni ya  Kutokomeza Ujangili... 
Head of Group Research and Product Development wa Tone Multimedia Group Fredy Anthony Njeje , The Man behind TMCL

"Tuwalinde Tembo wetu Sote tupambane na ujangili"
******

TONE MULTIMEDIA GROUP Ambao ni wamiliki wa Mtandao huu wa Mbeya yetu Blog , Tunapenda Kuungana na wadau wetu wote Kumpongeza Bwana Fredy Anthony Njeje ambaye ndiye Head of Group Research and Product Development wa Tone Multimedia Company Limited na Mbunifu Mkuu wa Product zote za Kampuni akishirikiana na Timu nzima ya TMCL na   Mmoja wa wakurugenzi wa Tone Multimedia Company Limited (TMCL)  ambao pia ni wamiliki wa products za Website Maalum ya Tone Multimedia Group  Blogs za Mikoa TanzaniaTone Radio-Tz , This Day MagazineStay In Tanzania(Tanzania Tours) , Tone Tube Tz  , Matukio na Wanavyuo , Watanzania waishio nje ya Nchi  na Tone Mobile News Alert na TONE TV  kwa kutimiza miaka yake kadhaa siku ya Leo.

Kipekee kabisa Tunapenda Kumpa Pongezi za dhati kabisa kwa kazi nzito anayo ifanya kwanza kuja na vitu hadimu ambavyo ndivyo vinaisaidia Kampuni kusonga Mbele, Ubunifu wa Hali ya juu wa 'Products' za Kampuni na kuifanya iendelee kusimama na watu kuzidi kuwa na imani na sisi


Pia katika Hili tunapenda kuwashukuru wadau Mbali mbali wa Habari wakiwemo TBN, Bloggers wote wa Tanzania, Magazeti, Radio na TV kwa kuendelea kuonesha ushirikiano mkubwa ili kazi ziendelee kwa ufanisi mkubwa

Mwisho tunapenda kumshukuru kila mmoja wetu ambaye ni mdau mkubwa wa Tone Multimedia Group,  wote tupo pamoja katika kusherekea siku hii ya leo.

Imetolewa na,
Utawala


No comments: