Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Thursday, July 9, 2015

HAPPY BIRTHDAY MKURUGENZI MTENDAJI WA TONE MULTIMEDIA COMPANY LIMITED (TMCL)

Mkurugenzi Mtendaji wa Tone Multimedia Company Limited(TMCL)
Ndugu Luseshelo Anthony Njeje

Kwa niaba ya Timu nzima ya Tone Multimedia Company Limited ambao ni pamoja na Mtwangamatanana Victor Luvenna,Sillah Mbuya,Joseph Mwaisango na Fredy Anthony Njeje , Bakari Ngamba, Geofrey Adrof na Venance Matinya Ambao ni wamiliki wa Mtandao huu wa Mbeya yetu Blog , Tunapenda Kuungana na wadau wetu wote Kumpongeza Bwana Luseshelo Ernest Njeje ambaye ndiye  Mkurugenzi Mtendaji   wa Tone Multimedia Company Limited (TMCL)  ambao pia ni wamiliki wa www.tonemg.comBlogs za Mikoa TanzaniaTone Radio-Tz , This Day MagazineStay In Tanzania(Tanzania Tours) , Tone Tube Tz  , Matukio na Wanavyuo na Watanzania waishio nje ya Nchi kwa kutimiza miaka yake kadhaa siku ya Leo.

Tunapenda kumpa Hongera sana kwa kazi nzito ambazo anazifanya kwa bidii kuendeleza kampuni yetu  , Pia tunamuombea kwa Mungu ampe siku nyingi zaidi , Afya Njema na aendelee kuchapa kazi zaidi na zaidi bila kusahau kuongeza Ubunifu zaidi.

Pia katika Hili tunapenda kuwashukuru wadau Mbali mbali wa Habari wakiwemo Umoja wa Bloggers Tanzania TBN , Magazeti, Radio na TV kwa kuendelea kuonesha ushirikiano mkubwa ili kazi ziendelee kwa ufanisi mkubwa

Mwisho tunapenda kumshukuru kila mmoja wetu ambaye ni mdau mkubwa wa Blogs za Mikoa Tanzania , tupo pamoja katika kusherekea siku hii ya leo.

Imetolewa na
Fredy anthony 
Kwa niaba ya uongozi wa  Tone Multimedia Group 

1 comment:

Unknown said...

Hongera sana Ernest ni safari ndefu toka enzi za Itiji primary