Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, July 10, 2015

SHEREHE YA KUMUAGA (SEND OFF) TUMPALE JOHN MWAISANGO, YAFANA KATIKA UKUMBI WA MKAPA JIJINI MBEYA .

Tumpale John Mwaisango(kulia) Bi. Harusi mtarajiwa akiwa pamoja na Mume wake Mtarajiwa Jeofrey Daniel Shipela (kushoto) katika nyuso za Furaha wakati wa sherehe za kumuaga .
Hivi ndivyo ukumbi ulivyo ulivyokuwa
Msafara wa  Bi Harusi mtarajiwa  Mitaa ya jiji la Mbeya 
Bibi Harusi Mtarajiwa Tumpale John Mwaisango akiwa anaingia ukumbini 
Bi Harusi mtarajiwa Tumpale John Mwaisango akimpa zawadi Mume wake Mtarajiwa Jeofrey Shipela wa kwanza kulia ni mpambe wa Bwana harusi mtarajiwa Venance Matinya
Yes hapa sasa ....... wote twendeee kwaitooo... kuli kwitiiii.....
Akimpa zawadi ya Keki  Mama mdogo wake
Akimpa keki dada yake pamoja na Mume wa Dada yake ikiwa ni Shukurani ya Pekee kwao
  Bi. Harusi Mtarajiwa Tumpale John Mwaisango (kushoto) Akikata keki kulia ni Mpambe wake Monica
 Bi. Harusi Mtarajiwa Tumpale John Mwaisango (kushoto) Akimlisha keki Mpambe wake Monica
Baba Mdogo wa Tumpale John Mwaisango akitoa neno kwa Binti yake na neno la Shukurani
Daniel Shipela (Kushoto) Baba Mzazi wa Bwana Harusi Mtarajiwa Jeofrey Shipela na Mama Mkubwa wake Elizabeth Njeje (kulia) wakitambulishwa
KUONA ZAIDI BOFYA HAPO READ MORE KUSHOTO


 Mbele kwa Mbwembwe za aina yake na kwa umahili Mkubwa Bwana Charles Mwaipopo akifungua Shampeni , wakati wa Sherehe hiyo
 Wakinyweshana Baada ya Cheeers...........
kwa furaha zote Cheeeeeeerrrrrrsssss..........
 Muda wa Chakula
 Bibi Harusi Mtarajiwa akimrisha Chakula bwana Harusi Mtarajiwa 
Wamewaka hawaja wakaaa........
Kutoka kulia ni Fredy Anthony Njeje, Grace Mwasote na Njuguna Karanja Marafiki wakubwa wa Joseph Mwaisango wakiwa katika Sherehe 
 Watu mbalimbali waliofika katika Sherehe ya Kumuaga Binti Tumpale
 Upande wa Familia ya Bibi Harusi Mtarajiwa 
 Imma na Mke wake
 Watu waliwaka
 Kushoto ni Mshenga upande wa Kikeni pamoja na wadau wa Karibu kabisa
 Mwakilili akimpongeza Tumpale
 Marafiki wakubwa wa Joseph Mwaisango baada ya Kumpa zawadi
 Baba Mdogo akitoa mkono wa Pongezi
 Mashangazi wakitoa zawadi
 Akina dada wakitoa zawadi.... na dada wa Tumpale
 Mbele ni Baba  Mzazi wa Bwana Harusi Mtarajiwa akitoa Mkono wa Pongezi
 Pongezi zikiendelea
 Kaka Mkubwa wa Tumpale , Joseph Mwaisango akitoa neno la Shukurani
 Mbele ni Baadhi ya Akina kaka wa Tumpale katika Ubora wao
 Ukodaki wa Pamoja
 Joseph Mwaisango kaka Mkubwa wa Tumpale John Mwaisango akimkabidhi zawadi mdogo wake Bibi Harusi Mtarajiwa , Fedha ambazo zitamsaidia ambapo anaenda kuanza Maisha na kumuaga rasmi.
 Jacob Mwaisango akiwa na mke wake mpendwa katika Ubora wa hali ya juu
 Joseph Mwaisango akiwa na Mke wake Mpendwa Yokberth na Tricia mtoo wao katika ubora wao
 Mdogo wa Joseph Mwaisango na Mke wake Katika Ubora wao
Mawifi na akina Dada katika ubora wao
 Chezea
 Mwakilili Kushoto katika ubora wake
 Bai jamani
 Huko Nyumbani pia kulikuwa na Sherehe ya kumuaga Binti Tumpale Mwaisango, Hapa Baba Mdogo akitoa Neno la Shukurani
 Sherehe ikiendelea Nyumbani
Bibi Harusi Mtarajiwa Tumpale John Mwaisango kuelekea katika Sendoff yake aliona bora asherekee pia na watoto yatima na waliokuwa wanaishi katika mazingira magumu cha Nuru hapa akiwapa zawadi
Baadhi ya Vitu ambavyo alipeleka katika kituo hicho
 Huko Nyumbani pia kulikuwa na Sherehe ya kumuaga Binti Tumpale Mwaisango, Hapa Baba Mdogo akitoa Neno la Shukurani
 Sherehe ikiendelea Nyumbani

No comments: