Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Wednesday, July 8, 2015

MAMIA WAHUDHURIA KATIKA MAZISHI YA MPENDWA WETU MAREHEMU MAMA ESTHER S. MWAIPASI NZOVWE MBEYA.

Marehemu Esther S. Mwaipasi enzi za Uhai wake
 Mwili wa Marehemu ukiwa unaingia nyumbani 
 Ndugu wa karibu wakiwa wanaomboleza kwa majonzi kifo cha Marehemu Esther S. Mwaipasi
 Baadhi ya Ndugu wa karibu wa Marehemu na waombolezaji wakiwa tayari kwa kuanza Misa ya kumuombea Marehemu 
Mchungaji Dkt. Nzowa akiendesha Ibada ya Kumuombea na kumuaga Marehemu Esther S. Mwaipasi

Mume wa Marehemu Esther Mwaipasi akiwa katika Majonzi 
 Baadhi ya watoto wa Marehemu
 Mmoja wa watoto wa Marehemu Dkt. Gwamaka akiwa katika majonzi wakati wa Ibada ya kumuombea Mama yao Mpendwa.
Mkuu wa kituo cha Polisi  cha Nzovwe akitoa Salamu za Rambi Rambi
Mchungaji Dkt Nzowa wa pili kushoto akiongoza ibada ya Mazishi
BOFYA HAPA READ MORE KUENDELEA KUONA ZAIDI


Mwili wa Marehemu ukiingizwa Kaburini
Mume wa Marehemu akiweka shada la Maua katika kaburi la Mke wake
Kutoka kushoto ni Isaya Mwasyalyanda, Dkt. Gwamaka na Sunday katika Mazishi
Wakina mama wa Moravian wakiomboleza
 Waombolezaji
 Picha ya wanandugu na Jamaa wa karibu baada ya Mazishi

Picha na Mbeya yetu


No comments: