Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, June 26, 2015

HONGERA MKUU WA MKOA WA MBEYA MH. ABBAS KANDORO KWA KUTUNUKIWA NISHANI YA JAMHURI YA MUUNGANO DARAJA LA KWANZA.

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mhe. Abbas Kandoro baada ya kumtunuku nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la Kwanza, ambayo hutolewa kwa wananchi waaminifu ambao kwa kujitolea kwao moja kwa moja wamelipatia Taifa sifa katika nyanja za kisiasa, kiuchumi, kiulinzi na kijamii
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassa Mwinyi, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman wakiwa katika picha ya pamoja na watunukiwa wa nishani za Jamhuri ya Muungano daraja la kwanza, Utumishi wa muda mrefu na maadili mema daraja la kwanza na Utumishi wa muda mrefu na maadili mema daraja la pili na Ushupavu Jumanne Juni 23, 2015 katika ukumbi mpya wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam. 

Picha na Ikulu

No comments: