Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, June 26, 2015

BREAKING NEWSSS AJALI MBAYA YATOKEA INYALA COSTA NA LORI VYAGONGANA

 Ajali imetokea asubuhi hii, maeneo ya inyala pipeline costa imegongana na lori kuna vifo vimetokea. 
Habari kamili tutawaletea hapo baadae
picha na Maisha Ambangile

No comments: