Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, May 29, 2015

LIVE MUDA HUU : MAHAFALI YA MAFUNZO YA AWALI CHUO CHA MAGEREZA KIWIRA MBEYA

Katibu mkuu wa wizara ya mambo ya ndani
Katibu mkuu akikagua gwaride
 Wananchi mbali mbali waliojitokeza kushuhudia sherehe hizo
 Brassband ikitoa burudani
Picha live moja kwa moja na Mbeya yetu Blog

Tukio kamili linakuja Fuatilia hapa...

1 comment:

Anonymous said...

Nakushukuruni kwa kutuhabarisha lakini nenda mbali kidogo angalau usemapo Katibu mkuu wizara ya mambo ya ndani, anaitwa nani?