Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Sunday, September 28, 2014

LIVEEEE MAELFU YA WAKAZI WA MBEYA WAJITOKEZA SEMINA YA FURSA UKUMBI WA MKAPA

Semina ya Fursa pia inaendelea katika ukumbi wa Mkapa likiendeshwa na Wataalamu waliobobea akiwemo Mkurugenzi wa Clouds fm Watu wote mnakaribishwa hakuna kiingilio.Picha na Mbeya yetu

1 comment:

Anonymous said...

Mahudhurio yanafurahisha, kweli watu wanapenda kujifunza. Lakini Fursa ni nini hasa?