Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Sunday, September 28, 2014

WAREMBO 11 WAJITOKEZA SHINDANO LA KUMSAKA SERENGETI SUPER NYOTA DIVA BAB’Z LOUNGE.

Msanii Merina Mwakalinga( Merina H) aliyeibuka mshindi wa kwanza katika shindano la Serengeti super nyota Diva 2014 kutoka mkoa wa Mbeya akitumbuiza baada ya kutangazwa mshindi, kwa mujibu wa Jaji Mkuu Dj Fetty mshindi huyo atasafirishwa kwenda DSM kuwasubiria washindi wengine wa mikoa 17 ili kumpata mshindi mmoja wa jumla atakaye pelekwa Studio na kuimba na Diamond.

Kinara wa Serengeti super nyota Diva 2014 Mkoa wa Mbeya akiwa katika picha ya pamoja na majaji mara baada ya shindano kukamilika Babz Lounge.
Sambamba na shindano hilo pia Semina ya Fursa pia inaendelea katika ukumbi wa Mkapa likiendeshwa na Wataalamu waliobobea akiwemo Mkurugenzi wa Clouds fm Watu wote mnakaribishwa hakuna kiingilio katika matukio yote mawili.

Jioni ni pale pale Uwanja wa Sokoine Wasanii kibao kuonyesha vitu vyao katika tamasha la Serengeti Fiesta kwa kiingilio cha Shilingi 5,000 tu mlangoni.


No comments: