Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Thursday, September 11, 2014

KUMBUKUMBU YA MIAKA 4 YA MPENDWA WETU JULIUS PIUS MSEKWA

JULIUS PIUS MSEKWA


KWAKWELI BADO INATUWIA VIGUMU KUAMINI KUWA LEO IMETIMIA MIAKA MINNE  4 TANGU UTUTOKE HAPA DUNIANI MPENDWA WETU JULIUS MSEKWA  INGAWA HAUPO NASI TENA KIMWILI, MOYO WAKO WA HEKIMA NA UPENDO UTAENDELEA KUBAKI NASI DAIMA   

BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LA 
BWANA LIBARIKIWE
AMEN 

No comments: