C H U O C H A E L I M U Y
A B I
A S H A R A (CBE)
“CHINI YA
WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA”
MKUTANO WA CBE ALUMNI MIKOA YA NYANDA ZA JUU KUSINI
KAMPASI YA MBEYA
MKUU WA CHUO CHA ELIMU
YA BIASHARA ANAWATANGAZIA WAHITIMU WOTE WA MIAKA YA NYUMA NA WA SASA WA CHUO
CHA ELIMU YA BIASHARA WANAOISHI KATIKA MIKOA YA NYANDA ZA JUU KUSINI KUHUDHURIA
MKUTANO WA WANA JUMUIA YA CBE (CBE ALUMNI) UTAKAOFANYIKA SIKU YA JUMAMOSI
TAREHE 4, 10, 2014 KATIKA VIWANJA VYA MBEYA HOTEL, JIJINI MBEYA, KUANZIA SAA
7.00 MCHANA. BAADA YA MKUTANO KUTAKUWA NA CHAKULA CHA PAMOJA.
MIONGONI MWA MAMBO
YATAKAYOFANYIKA SIKU HIYO NI PAMOJA NA:
1) KUUNDA ALUMNI ASSOCIATION KWA NYANDA ZA JUU
KUSINI
2) KUCHAGUA VIONGOZI WA ALUMNI ASSOCIATION WA KANDA
3) KUPATA TAARIFA YA MAANDALIZI YA MAADHIMISHO YA
MIAKA 50 YA CBE
4) MADA KUHUSU MCHANGO WA CBE KATIKA KUENDELEZA
BIASHARA NCHINI
5) MADA KUHUSU CBE ILIPOTOKA, ILIPO KWA SASA NA CBE
IJAYO
6) KUBADILISHANA UZOEFU NA MAWAZO (NETWORKING)
MADA HIZI ZITAWASILISHWA
NA WAKUFUNZI, WAHITIMU, WANAFUNZI NA WADAU WENGINE WA CBE.
TAFADHALI, UPATAPO
TAARIFA HII MJULISHE NA MWENZIO.
PAMOJA TUNAWEZA
KWA MAELEZO ZAIDI
WASILIANA NA MKUU WA KAMPASI YA MBEYA
BARUA PEPE: dir.mbeya@cbe.ac.tz
Simu :025- 2500571
:0654- 878704, 0717 -288874, 0655- 080858
NAFASI ZA KUJIUNGA NA MASOMO NGAZI YA
ASTASHAHADA (CERTIFICATE) NA STASHAHADA (DIPLOMA) KWA
MWAKA WA MASOMO 2014/2015 KATIKA FANI ZIFUATAZO BADO ZIPO SOMA HAPA CHINI:
- Uhasibu ( Accountancy)
- Masoko (Marketing Management)
- Ununuzi na Ugavi (Procurement & Supplies Management)
- Usimamizi wa Biashara (Business Administration)
1. Fomu
za kujiunga zinapatikana
Chuoni Jengo
la chuo kikuu Huria
( Kituo cha Mbeya) Forest ya zamani, CBE DAR ES SALAAM, CBE DODOMA, CBE MWANZA au Bofya hapa Chini Ku Download
2. Wahitimu wa kidato cha
nne
wenye ufaulu usiopungua D nne
watajiunga moja
kwa
moja.
3. Kujiunga
na stashahada (diploma) wahitimu wa kidato
cha sita wenye ufaulu usiopungua Principal pass moja, subsidiary pass mbili Au wenye astashahada husika
yaani (certificate) kutoka Chuo kinachotambuliwa
na NACTE
Masomo
kwa ngazi zote yanatolewa kuanzia asubuhi hadi jioni (FULL
TIME)
na jioni (EVENING PROGRAM) jumatatu hadi ijumaa.
Ewe mwananchi jiunge na chuo chenye uzoefu wa zaidi ya miaka 49 katika elimu ya
Biashara, Ujasiriamali, Ushauri na Utafiti.
Tunaendelea
kupokea maombi ya kujiunga
katika ngazi
zote
Kwa maelezo
zaidi piga simu namba, 0654-878704 / 0767-288874
No comments:
Post a Comment