Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Thursday, July 24, 2014

HOT NEWS: LICHA YA MGOGORO WA KANISA KUSURUHISHWA NA SERIKALI KANISA LAWATIMUA WACHUNGAJI SITA. WALIOSIMAMISHWA WAJA NA TAMKO ZITO. SOMA BARUA ZOTE HAPA

 Wiki moja baada ya mgogoro kanisa la Moravian Jimbo la kusini Magharibi kudaiwa kumalizika mapya yaibuka wachungaji wake Sita wasimamishwa kutoa huduma ya kiroho


 Makamu mwenyekiti Zacharia Sichone adaiwa kukiuka maazimio ya ya kikao cha usuluhishi kilichofanyika kwa mkuu wa wilaya ya Mbeya Dk . Norman Sigalla cha julai 16 Mwaka huu

 Wachungani waliosimamishwa waja juu na kutoa tamko zitoNo comments: