| Lilian Shoni |
| Lilian Shoni akiwa katika picha ya pamoja na wapambe wake Beaco Hotel |
| Lilian Shoni akisalimia wageni waalikwa waliohudhuria sherehe yake katika ukumbi wa Mkapa Jijini Mbeya |
| Mwenyekiti kamati kuu Kikoti Mwaluvanga akifungua sherehe yac kumuaga Lilian katika ukumbi wa Mkapa |
| Bwana harusi mtarajiwa Halfan Mahanyu akivishwa zawadi ya saa na Bi harusi mtarajiwa Lilian |
| Lilian Shoni akilishwa keki na mpambe wake |
| Mwenyekiti kamati ya Burudani na mapambo Mrs. Mabula akimkabidhi zawadi bi harusi mtarajiwa |
| Ndugu na jamaa wa Lilian |
| Baadhi ya wageni waalikwa katika sherehe hiyo ya kumuaga Lilian |
Na Mbeya yetu |
No comments:
Post a Comment