Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Monday, June 16, 2014

NEWS ALERT: WATATU WAJERUHIWA RRM ALFAJIRI YA LEO BAADA YA GARI LAO KUPINDUKA WAKIWAHI NDEGE UWANJA WA NDEGE SONGWE.


Watu watatu wamejeruhiwa leo alfajiri na kukimbizwa hospitali baada ya Gari lao dogo kupata ajali wakiwahi Ndege katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Songwe . Chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi na alikuwa akilipita gari lengine na mbele kukawa na Gari lengine nalo linakuja kwa mwendo na ndipo lilipo mshinda , akagonga nguzo za taa barabarani Kisha Kupinduka. Hata hivyo wasafiri hao safari yao iliishia RRM. 

PICHA NA MBEYA YETU

2 comments:

Anonymous said...

Mungu ni mwema watapona. Tujifunze katika makosa kama haya yanayoonekana kama mazowea kwa sasa lakini yanatugharimu maisha yetu kila iitwapo leo!

Anonymous said...

Dah! Pole ndugu yangu swiniford kwa majanga uliyoyapata mungu akupe moyo wa uvumilivu katika kipindi kigum ulichonacho