Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Wednesday, June 18, 2014

BREAKING NUUUZ: BASI LA NEWS FORCE LAUA WAWILI PAPO HAPO NA KUJERUHI 40 BAADA YA KUPATA AJALI MUDA HUU ENEO LA IGURUSI

Basi la New Force Muda muda mchache baada ya kupata Ajali

Taarifa zilizotufikia Muda huu kutoka Igurusi zinasema Basi la New Force lililokuwa likitoka Dar es salaam kuja Mbeya limepata Ajali Mbaya eneo la Igurusi na kusababisha Vifo vya watu wawili hapo hapo walikuwa wakitembea kwa miguu na kujeruhi wengine Arobaini ambao wanakimbizwa Hospitali sasa na kusaidiwa, Taarifa kamili na picha zinakuja endelea kufuatilia Hapa hapa 

Na Mbeya Yetu 

2 comments:

Unknown said...

Poleni sana,hizi ajali sasa ni janga Ni Mungu pekee wa kutuepusha,

Anonymous said...

Traffic ramp more needed around incidence area.