Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, June 20, 2014

HATARI: MTAZAME BABA HUYU ANAVYO HATARISHA MAISHA YA MTOTO WAKE , JE KIKIKATIKA AKIWA MWENDO KASI MTOTO ATAPONA?

 Dogo akiwa hana wasiwasi huku Akiwa amewekwa kwenye eneo la kuwekea Mizigo
 Jamaa akijiandaa na Safari 
 Amekula Pozi kidogo
 Sasa anaondoka zake bila kujali kuwa anacho kifanya ni Hatari
Je Mdau unaona Kitendo cha huyu ndugu kumbeba mtoto huyu kipo sawa? 

Na Mbeya yetu

No comments: