Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Saturday, May 3, 2014

Red Cross wazindua maadhimisho ya siku Red Cross duniani, yanayofanyika mkoani Mbeya

Maandamano ya skauti na shule mbalimbali za sekondari yakiingia katika viwanja vya Ruanda Nzovwe kwa ajili ya uzinduzi wa siku ya Msalaba mwekundu duanianiRais wa chama cha Msalaba mwekundu nchini Dkt George Nangale akipokea maandamano
Rais wa chama cha Msalaba mwekundu nchini Dkt George Nangale akiwahutubia wananchi katika uzinduzi huo

Mwenyekiti Mkoa wa Mbeya, Ulimboka Mwakilili akimkaribisha Rais wa shirika hilo, George Nangale!!


Viongozi wa chama cha Msalaba mwekundu wakiwa wameshikana mikono kuashiria umoja na mshikamano


Mgani rasmi akisalimiana na wachezaji kabla ya kuzindua michezo mbalimbali itakayoshindaniwa kwa wiki nzima ya maadhimisho ya Red Cross mkani hapaNa Mbeya yetu

No comments: