| Moja wa waandaaji wa miss Mbeya city Yohana plumber akiwakabidhi zawadi kwa watoto hao |
| Jackline Luvanda moja ya waratibu akitoa zawadi kwa watoto hao wa kituo cha Nuru kilichopo Uyole jijini Mbeya |
| Mratibu wa miss Mbeta city center 2014 Yassin Mshana akitoa kiasi cha hela na kuwapa watoto hao |
| Mamiss Mbeya city cente wakiwatembelea watoto hao wa kituo cha Nuru |
Na Mbeya yetu |
No comments:
Post a Comment