| Baadhi ya wageni waalikwa wakiwa makini kumsikiliza mgeni rasmi |
| Mgeni rasmi Mkurugenzi msaidizi Wizara ya Sayansi na Teknolojia idara ya sayansi na ubunifu Dr. Magreth Komba akiongea na wageni waalikwa katika uzinduzi huo |
|
Naibu kaimu makamu mkuu wa
chuo na taaluma
Dkt Mbonde akimkaribisha mgeni rasmi
|
| Albertina Leonard Mwenyekiti WITTED na mkufunzi idara ya sayansi na biashara akisoma taarifa fupi ya mpango wa kuwahamasisha wanawake kusomea fani ya sayansi na Teknolojia |
| Mtungwa William mkuu wa idara ya mitihani na pia kaimu mkuu wa idara ya FSD MUST |
| Hapa wanawake wakifurahia uzinduzi |
| Tedy Mkwawa mwanafunzi mwaka wa tatu Diploma uhandisi umeme akimwelezea mgeni rasmi jinzi umeme unavyofanya kazi katika nyumba |
| Enea King'ung'e anaesomea uhandisi umeme mwaka wa tatu akimwelezea mgeni rasmi jinsi taa za barabarani zinavyofanya kazi |
| Sheila Mwihava mwanafunzi wa mwaka wa tatu uhandisi umeme akitoa maelezo mafupi kwa mgeni rasmi jinsi taa zinazotumika katika mizani za barabarani zinavyofanya kazi |
| Elizabeth Lema akimwelezea mgeni rasmi jinsi vifaa mbalimbali vya umeme vinavyofanya kazi |
| Victoria Mtega kulia anaesomea usanifu majengo mwaka wa tatu akimwelezea mgeni rasmi jinsi ujenzi wa nyumba mbali mbali zinavyojengwa kitaalamu |
| Bi Scholastica Loppa Mhadhiri msaidizi Fani ya umeme pia ni mwanzilishi wa kampeni ya uhamasishaji wanawake kusomea fani ya ufundi anamiaka 30 tangu ameanza kufanya kazi ya uhandisi umeme |
| Grace Ntungi yeye ni Mhandisi shirika la umeme Tanesco Mbeya anamiaka 22 kazini katika fani hiyo amesema wanawake tunaweza bila kuwezeshwa |
| Eunice Maonyeshp yeye ni mahandisi toka Tanroads akielezea mafanikio yake katika kazi ya ke ya uhandisi barabara |
| Flora Talamba Mhandisi toka Tanroads |
| Baby TOT wakitumbuiza katika uzinduzi huo |
| Picha ya pamoja Na Mbeya yetu |
1 comment:
Ni safi, ila walikufa aw mist waache kuwauzia mitihani wana fungi, na pia waache kutembea na wana fungi, ukikataa kutembea na mwalimu unafelishwa na wanaofaulu ni mambumbumbu Kama Hugo Sheila
Post a Comment