Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Thursday, May 8, 2014

Maadhimisho ya siku Red Cross duniani Yafana Mbeya

Maandamano ya skauti na shule mbalimbali za sekondari yakiingia katika viwanja vya Ruanda Nzovwe  siku ya Msalaba mwekundu duaniani


Mgeni rasmi akipokea maandamano hayo

Viongozi  wa Red Cross toka mikoa  mbali mbali walihudhuria sherehe hiiBaadhi ya wana Red Cross toka makao makuu wakifuatilia matukio kiwanjani hapo

Wanafunzi wakipita mbela ya mgeni rasmi 
Burudani mbalimbali za ngoma za asili zilikuwepo katika sherehe hiyo

Baby TOT  ya mbeya ikutumbuiza uwanjani hapo

Mkuu wa Wilaya ya Chunya Deodatus Kinawiro  akimwakilisha Waziri Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid katika sherehe sherehe za msaraba mwekundu zilizofanyika kitaifa mkoani Mbeya katika kiwanja cha Rwanda Nzovwe


Makamu Rais Red Cross nchini, Dr Zainab Gama akitoa salam za chama katika maadhimisho ya Siku ya Msalaba Mwekundu duniani yanayofanyika kitaifa mkoani Mbeya 

Mkurugenzi wa Maendeleo wa chama hicho Julius Kejo akitoa salam kwa wageni waalikwa


Mwenyekiti  wa Red Cross Mkoa wa Mbeya, Ulimboka Mwakilili akiwasalimia wananchi waliohudhuria sherehe hizo

Hosea Cheyo wa TBC akipokea cheti cha kuitangaza vema Red Cross


Wanafunzi wa shule mbali mbali walihudhuria sherehe hizoNa Mbeya yetu

No comments: