Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, April 15, 2014

SEMINA! SEMINA! SEMINA!...YA NENO LA MUNGU.

Semina inaendeshwa na Mtumishi wa Mungu, Mwinjilisti Jeremiah Mwakanyilenge  kutoka JEM MINISTRY.
Wananchi na wakazi wa Mkoa wa Mbeya mnakaribishwa katika Semina ya neno la Mungu inayofanika kwenye Kanisa la Morovian Isanga jijini Mbeya.Wenye mahitaji mbali mbali, magonjwa na shida, mliofungwa na mizigo ya dhambi mtaombewa na shida zenu zitatuliwa kwa jina la Yesu!
  

Add caption
SEMINA! SEMINA! SEMINA!...YA NENO LA MUNGU.

Wananchi na wakazi wa Mkoa wa Mbeya mnakaribishwa katika Semina ya neno la Mungu inayofanika kwenye Kanisa la Morovian Isanga jijini Mbeya.

Semina hiyo inaendeshwa na Mtumishi wa Mungu, Mwinjilisti Jeremiah Mwakanyilenge  kutoka JEM MINISTRY.

Semina hiyo itafanyika kwa siku nane kuanzia 13/04/2014 hadi 20/04/2014 kila siku Saa 10:30 jioni hadi saa moja jioni.

Njoo usikilize mafundisho, maombezi na neno la Mungu pamoja na burudani kutoka kwa Waimbaji mahiri wakiongozwa na Mtumishi Jeremiah Mwakanyilenge.

Somo linalofundishwa ni “tamani kufika kilele cha mafanikio kwa uaminifu”

Wenye mahitaji mbali mbali, magonjwa na shida, mliofungwa na mizigo ya dhambi mtaombewa na shida zenu zitatuliwa kwa jina la Yesu!

Wafilipi 4:6-7……“Walokole wengi wanapendelea kuwaita wenzao waliofanikiwa Freemason badala ya kuomba Mungu ili nao wapewe Mahitaji yao kama walivyofanikiwa wengine”…By Ev. Jeremia Mwakanyilenge.  Usingoje kusimuliwa!

Nyote mnakaribishwa!


No comments: