Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Wednesday, April 16, 2014

KING’S HOTEL INATANGAZA NAFASI ZA KAZI;

KING’S HOTEL JACARANDA MBEYA.
0767-914004, 0655-814004.

KING’S HOTEL ni Hoteli mpya na kisasa  ndani ya Jiji la Mbeya.
KING’S HOTEL INATANGAZA NAFASI ZA KAZI;
-Wahudumu wa Bar nafasi 2
-Kaunta nafasi 1
-Mapokezi nafasi 2
-Usafi wa mazingira nafasi 1
- Usafi wa ndani nafasi 2

SIFA ZA MUOMBAJI.

-Awe anauzoefu katika nafasi anayoomba.
-Elimu kuanzia ngazi ya cheti kutoka Chuo kinachotambuliwa
-Ajue kuzungumza lugha ya Kiswahili na kiingereza kiufasaha

MAWASILIANO.

Muombaji anaweza kufika moja kwa moja Hotelini iliyopo Jakaranda karibu na Makao makuu ya Jimbo la Kanisa la Moroviani Mkabala na ghorofa la iliyokuwa ya shirika la Bima au piga simu namba
0767-914004, 0655-814004.


2 comments:

Anonymous said...

samahan naitwa festo joseph fani yangu ni ya udereva naomba kazi..cheti ninacho pamoja na licence

Anonymous said...

Okay nimeipenda