Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Thursday, March 20, 2014

TUNAOMBA NDUGU WA DADA HUYU AU WANAUSALAMA WAMTOE BARABARANI KWANI ANATEMBEA KATIKATI YA BARABARA NA KUPIGA MATEKE MAGARI

DADA HUYU AMEJULIKANA KWA JINA MOJA TU LA NEVA  INAHOFIWA KUWA  ANAMATATIZO YA AKILI   TUNAOMBA NDUGU JAMAA HATA MAFAFIKI WAJITOKEZE KUMTOA BARABARANI ENEO LA SOWETO MPAKA MAFIATI YAANI BARABARA KUU IENDAYO TUNDUMA KWANI NI HATARI MUDA WOWOTE ANAWEZA GONGWA NAMAGARI ANATEMKATIKATI YA BARABARA MAENEO YA SOWETO


MAENEO YA KABWE

Na Mbeya yetu

No comments: