Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Thursday, March 20, 2014

BABA AUA MTOTO WAKE WA MIAKA SABA KISA ETI NI MZURULAJI


KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA KAMISHNA MSAIDIZI MWANDAMIZI WA POLISI
 AHMED Z. MSANGI 
MTOTO AITWAYE IREENE MARCO MBEMBELA (07) MWANAFUNZI CHEKECHEA SHULE YA MSINGI MIGOMBANI NA MKAZI WA SOGEA ALIFARIKI DUNIA WAKATI AKIENDELEA KUPATIWA MATIBABU KATIKA KITUO CHA AFYA TUNDUMA.

MAREHEMU ALIPIGWA KWA KUTUMIA FIMBO SEHEMU MBALIMBALI ZA MWILI WAKE HADI KUPOTEZA FAHAMU  NA BABA YAKE MZAZI  ALIYEFAHAMIKA KWA JINA LA MARCO MBEMBELA (30) MKAZI WA SOGEA – TUNDUMA.

TUKIO HILO LILITOKEA TAREHE 19.03.2014 ALFAJIRI HUKO SOGEA KATA NA TARAFA YA TUNDUMA WILAYA YA MOMBA KWA TUHUMA KUWA ANATABIA YA  KUZURURA OVYO KATIKA NYUMBA ZA WATU.

KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA KAMISHNA MSAIDIZI MWANDAMIZI WA POLISI AHMED Z. MSANGI ANATOA WITO KWA WAZAZI/WALEZI KUTUMIA BUSARA KATIKA KUWAELEKEZA NA KUWAONYA WATOTO WAO BADALA YA KUWAPIGA KWANI NI HATARI KWA AFYA NA MAISHA YAO.


2 comments:

Anonymous said...

Yeye wakati anampiga alikuwa nalengo la kumfunda, lakini kwa bahati mbaya amekufa.
asamehewe tu iliakija uraini aje awemwalimu kwa wengine.

thebig one mbongo said...

Watoto wasiku hizi niwagonjwa haitakiwi kupigwa huyo jamaa asamehewe ye alijua anamuonya tu