Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, February 4, 2014

MVUA KUBWA ILIYOAMBATANA UPEPO YAHARIBU NYUMBA ZAIDI KUMI ILOLO JIJINI MBEYA

Bibi Enea mwenye umri zaidi ya miaka 80 akilia kwa uchungu kuwa vitu vyote vya ndani vimeharibika pia anamshukuru mungu kumponya na mafuriko hayo kwani alikuwa amelala maji ndiyo yamestua kitandani kwani maji yaliingia mpaka ndaniBibi Enea mwenye umri zaidi ya miaka 80 mkazi wa Ilolo akituonyesha jinsi maji yalivyoharibu vitu vyake
Mwandishi wa Mbeya yetu joseph mwaisango akimpa pole bibi Enea kwa kumpa kiasi kidogo cha msaada ili kimsaidie kwa siku hiyo maana chakula chote kimeharibika na maji


Kanisa la Moravian Ilolo likiwa limejaa maji ndaniHakika inasikitisha watoto hawa wametoka shule wanakuta nyumba yao imebomoka na mvua kubwa ilionyesha jijini Mbeya  wazahi wa watoto hao hawakuwepo nyumbani

Mwenyekiti wa mataa Sinde A  Anyandwile Mwansanu akiongea na waandishi wa habari


Mama na mwanae mgongoni hajui aanzie wapi kutoa maji yalioingia nyumbani kwake


Habari kamili ya tukio zima tutawaletea baadae


Picha na Mbeya yetu

1 comment:

Anonymous said...

Please we need updated news,,, keep it up!