Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Monday, February 10, 2014

BONANZA LA HOSPITALI YA RUFAA MBEYA LAFANA

Mkuu wa wilaya Mbeya  Dk Norman Sigalla akifungua bonanza hilo

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa hospitali ya Rufaa Mbeya, Dk Humphrey Kiwelu akiongea na wanamichezo wa taasisi mbalimbali zilizoshiriki katika bonanza hilo


Mkuu wa wilaya Mbeya  Dk Norman Sigalla akisalimiana na wanamichezo


Michezo mbali mbali ilikuwepo  kama kuvuta kamba kukuna nazi 


Shindano la kulaNa Mbeya yetu 

No comments: