Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, February 7, 2014

MOTO WAZIDI KUPAMBA KANISA LA MORAVIAN MBEYA WAKRISTO WA SHIRIKA MBALIMBALI WAANDAMANA KUJUA HATMA YA MWENYEKITI WAO ALIEVULIWA MADARAKA NA KUPANGIWA KAZI NYINGINE ISIVYO HALALI KIKATIBA


Baadhi ya washirika wakiwa nje ya ofisi za jimbo la Moravian kujua kulikoni kutimuliwa kwa Mwenyekiti wao
Mwenyekiti wa Mabaraza ya wazee   Franky Phiri akitoa tamko kwa niaba ya wajumbe wengine mbele ya kaimu mwenyekiti wa jimbo  Bwana Zacharia Schone  
Kaimu mwenyekiti wa jimbo Bwana Zacharia Schone akijaribu kuwafafanulia jambo baraza la wazeeMwenyekiti wa Mabaraza ya wazee   Franky Phiri akimkabidhi  tamko lao kaimu mwenyekiti wa jimbo  Bwana Zacharia Schone  Na Mbeya yetu

2 comments:

Anonymous said...

Hivi wanachogombania nn katika nyumba ya bwana? Mi sielewi kama nyie mnagombana sasa raia huku mitaani iItakuaje? Mnatia aibu sana na ni mfano mbaya sana kwa jamii.

Anonymous said...

hUYU mCHUNGAJI NDIYE MCHOCHEZI WA VURUGU NA ANLIINGIZA KANISA KWA SABABU YA PESA CHAFU MFUATILIENI ASEME UKWELI.hIZO PESA WANAZOONGWA ZINATOKA WAPI.